
Mkurugenzi Mkuu wa EWURA, Dkt.James Andilile,akiongoza Mada kuhusu Ushawishi wa Siasa za Kikanda kwenye Mahitaji na Bei ya Mafuta, leo 6/3/2025 kwenye Mkutano wa 11 wa Mafuta na Gesi Asilia Afrika Mashariki unaoendelea katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere.
No comments