Breaking News

Matukio katika picha Mkurugenzi wa EWURA akiwa mwongoza mjadala katika Kongamno la 11 la Mafuta na Gesi Afrika Mashariki 2025 (EAPCE’25)

 

Uploading: 79736 of 79736 bytes uploaded.

Mkurugenzi Mkuu wa EWURA, Dkt.James Andilile,akiongoza Mada kuhusu Ushawishi wa Siasa za Kikanda kwenye Mahitaji na Bei ya Mafuta, leo 6/3/2025 kwenye Mkutano wa 11 wa Mafuta na Gesi Asilia Afrika Mashariki unaoendelea katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere.


No comments