Rais Samia akutana na Manusura wa ajali wa Lucky Vincent nchini Marekani
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja
na Sadhia Abdallah, wapili kulia Doreen Mshana wa kwanza (kulia), Wilson Tarimo
wapili (kushoto) tarehe 31 Oktoba 2024, mjini Iowa, nchini Marekani.
Vijana hawa watatu
ni manusura wa ajali ya basi la Shule ya Msingi Lucky Vincent iliyotokea Mei 6,
2017 katika eneo la Rothia wilayani Karatu Mkaoni Arusha. Vijana hao wapo
nchini Marekani wakiendelea na masomo ya elimu ya juu katika Vyuo Vikuu
tofauti.
No comments