Breaking News

ORODHA YA MAJERUHI WALIOPOKELEWA HOSPITALI YA MUHIMBILI KUTOKANA NA AJALI YA KUPOROMOKA GHOROFA LA KARIAKOO

Hospitali ya Taifa Muhimbili imepokea jumla ya majeruhi 40 waliopata ajali kutokana na kuporomoka kwa ghorora Kariakoo jijini Dar es Salaam ambapo hadi kufikia saa 11 jioni, 35 kati yao wameruhusiwa kwenda nyumbani baada ya kufanyiwa uchunguzi na kubainika kuwa walipata majeraha sehemu mbalimbali za mwili na kutibiwa, kisha kuruhusiwa.


Watano kati yao bado wanaendelea na matibabu ambapo wanne wamepelekwa Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) kwa ajili matibabu zaidi. Hospitali haijapokea maiti.

Ifuatayo ni orodha ya majeruhi waliopokelewa Hospitali ya Taifa Muhimbili;

No comments