Breaking News

Rais Samia akutana na kuzungumza na Watanzania wanaoishi China (Diaspora) kwenye Mkutano uliofanyika Jijini Beijing

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Watanzania wakiwemo wafanyakazi, wanafunzi na wafanyabiashara wanaoishi nchini China (Diaspora) kwenyemkutano uliofanyika Jijini Beijing tarehe 06 Septemba, 2024.










No comments