Breaking News

Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan awahutubia Wananchi wa Mkoa wa Morogoro

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia Wananchi kutoka maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Morogoro kwenye Mkutano wa hadhara uliofanyika katika Uwanja wa Jamhuri ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya Kikazi tarehe 06 Agosti, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipiga picha ‘selfie’ na wananchi wa Morogoro wakati akiondoka katika uwanja wa Jamhuri Mkoani Morogoro mara baada ya kuwahutubia tarehe 06 Agosti, 2024.

No comments