Breaking News

KATIBU MKUU WIZARA YA KATIBA NA SHERIA ELIAKIM MASWI AONGOZA WANANCHI KUTEMBELEA BANDA LA OFISI YA MAKAMU WA RAIS MAONESHO YA NANENANE

     Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria, Bw. Eliakim Maswi akisaini Kitabu cha wageni wakati alipotembelea Banda la Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) katika Maonesho ya Sikukuuu ya Wakulima Duniani (Nanenane) yanayoendelea katika Viwanja vya Nanenane, Nzuguni Jijini Dodoma leo Jumanne Agosti 6, 2024.


   Afisa Maendeleo ya Jamii Ofisi ya akamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Bw. Raphael Maziku akitoa ufafanuzi kuhusu masuala ya Muungano kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Itega iliyopo Jiji la Dodoma wakati walitembelea Banda la Ofisi hiyo katika Viwanja vya Nanenane, Nzuguni Jijini Dodoma leo Jumanne Agosti 6, 2024.


No comments