Serikali yatangaza nafasi 11,015 ajira za Ualimu, tazama hapa
KUPITIA tangazo lenye Kumb. Na. JA. 9/259/01/B/ 14 la Julai 20, 2024 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 11,015 kama ilivyoainishwa katika tangazo hili.
1. MWALIMU DARAJA LA IIIA NAFASI 2851
(Njombe 62, Mtwara 153, Dodoma 85, Shinyanga 115, Songwe 101, Iringa 56, Manyara 78, Tabora 116, Singida 110, Tanga 113, Kagera 133, Katavi 99, Rukwa 76, Simiyu 120, Mara 173, Geita 90, Ruvuma 140, Kigoma 129, Dar es Salaam 19, Pwani 68, Arusha 116, Mwanza 134, Morogoro 129, Kilimanjaro 124, Mbeya 217 na Lindi 95).
1.1 MAJUKUMU YA KAZI
i. Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa;
ii. Kutengeneza na Kufaraghua zana za kufundishia na kujifunzia;
iii. Kufundisha, kufanya Tathimini na kutunza kumbukumbu za Maendeleo ya Wanafunzi;
iv. Kusimamia na kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi Shuleni na Darasani;
v. Kusimamia malezi ya wanafunzi Kiakili, Kimwili, Kiroho na kutoa ushauri nasaha na unasihi;
vi. Kutoa ushauri wa kitaalamu na kitaaluma kuhusu maendeleo ya Elimu;
vii. Kusimamia na utunzaji wa vifaa na mali za shule; na
viii. Kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wa Shule kulingana na majukumu ya Shule.
1.1.1 SIFA ZA MWOMBAJI
Kuajiriwa mwenye cheti cha Mtihani wa Taifa wa Kidato cha nne ambaye amefaulu mafunzo ya Ualimu ya miaka miwili (2) kutoka Vyuo vya Ualimu vinavyotambulika na Serikali na kutunukiwa cheti cha Ualimu Daraja la IIIA.
1.1.2 NGAZI YA MSHAHARA
Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali TGTS- B.
2. MWALIMU DARAJA LA III A – ELIMU YA AWALI NAFASI 20
(Geita 15 na Iringa 5)
2.1 MAJUKUMU YA KAZI
i. Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa;
ii. Kutengeneza na Kufaraghua zana za kufundishia na kujifunzia;
iii. Kufundisha, kufanya Tathimini na kutunza kumbukumbu za Maendeleo ya Wanafunzi;
iv. Kusimamia na kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi Shuleni na Darasani;
v. Kusimamia malezi ya wanafunzi Kiakili, Kimwili, Kiroho na kutoa ushauri nasaha na unasihi;
vi. Kutoa ushauri wa kitaalamu na kitaaluma kuhusu maendeleo ya Elimu;
vii. Kusimamia na utunzaji wa vifaa na mali za shule; na
viii. Kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wa Shule kulingana na majukumu ya Shule.
2.1.2 SIFA ZA MWOMBAJI
Kuajiriwa mwenye cheti cha Mtihani wa Taifa wa Kidato cha nne ambaye amefaulu mafunzo ya Ualimu wa Awali ya miaka miwili (2) kutoka Vyuo vya Ualimu vinavyotambulika na Serikali na kutunukiwa cheti cha Ualimu wa Awali.
2.1.3 NGAZI YA MSHAHARA
Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali TGTS- B.
3. MWALIMU DARAJA LA III A - ELIMU MAALUM NAFASI 13 (Manyara 3, Mbeya 8,Singida 2)
3.1 MAJUKUMU YA KAZI
i. Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa;
ii. Kutengeneza na Kufaraghua zana za kufundishia na kujifunzia;
iii. Kufundisha, kufanya Tathimini na kutunza kumbukumbu za Maendeleo ya Wanafunzi;
iv. Kusimamia na kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi Shuleni na Darasani;
v. Kusimamia malezi ya wanafunzi Kiakili, Kimwili, Kiroho na kutoa ushauri nasaha na unasihi;
vi. Kutoa ushauri wa kitaalamu na kitaaluma kuhusu maendeleo ya Elimu;
vii. Kusimamia na utunzaji wa vifaa na mali za shule; na
viii. Kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wa Shule kulingana na majukumu ya Shule.
iii. Kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wa Shule kulingana na majukumu ya Shule.
2.1.2 SIFA ZA MWOMBAJI
Kuajiriwa mwenye cheti cha Mtihani wa Taifa wa Kidato cha nne ambaye amefaulu mafunzo ya Ualimu wa Awali ya miaka miwili (2) kutoka Vyuo vya Ualimu vinavyotambulika na Serikali na kutunukiwa cheti cha Ualimu wa Awali.
2.1.3 NGAZI YA MSHAHARA
Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali TGTS- B.
3. MWALIMU DARAJA LA III A - ELIMU MAALUM NAFASI 13 (Manyara 3, Mbeya 8, Singida 2)
3.1 MAJUKUMU YA KAZI
i. Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa;
ii. Kutengeneza na Kufaraghua zana za kufundishia na kujifunzia;
iii. Kufundisha, kufanya Tathimini na kutunza kumbukumbu za Maendeleo ya Wanafunzi;
iv. Kusimamia na kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi Shuleni na Darasani;
v. Kusimamia malezi ya wanafunzi Kiakili, Kimwili, Kiroho na kutoa ushauri nasaha na unasihi;
vi. Kutoa ushauri wa kitaalamu na kitaaluma kuhusu maendeleo ya Elimu;
vii. Kusimamia na utunzaji wa vifaa na mali za shule; na
viii. Kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wa Shule kulingana na majukumu ya Shule.
3.1.2 SIFA ZA MWOMBAJI
Kuajiriwa mwenye cheti cha Mtihani wa Taifa wa Kidato cha nne ambaye amefaulu mafunzo ya Ualimu ya miaka miwili (2) kutoka Vyuo vya Ualimu vinavyotambulika na Serikali na kutunukiwa cheti cha Ualimu Daraja la IIIA katika Elimu Maalum.
3.1.3 NGAZI YA MSHAHARA
Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali TGTS- B.
4. MWALIMU DARAJA LA III B - SHULE YA MSINGI NAFASI 464
(Mtwara 22, Njombe 20, Manyara 95, Kagera 51, Singida 35,Tanga 72, Geita 34, Pwani 7, Lindi 14, Mbeya 40, Shinyanga 9, Mara 24, Iringa 8, Morogoro 14, Kigoma 17 na Dodoma 2)
4.1 MAJUKUMU YA KAZI
i. Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa;
ii. Kutengeneza na Kufaraghua zana za kufundishia na kujifunzia;
iii. Kufundisha, kufanya Tathimini na kutunza kumbukumbu za Maendeleo ya Wanafunzi;
iv. Kusimamia na kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi Shuleni na Darasani;
v. Kusimamia malezi ya wanafunzi Kiakili, Kimwili, Kiroho na kutoa ushauri nasaha na unasihi;
vi. Kutoa ushauri wa kitaalamu na kitaaluma kuhusu maendeleo ya Elimu;
vii. Kusimamia na utunzaji wa vifaa na mali za shule; na
viii. Kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wa Shule kulingana na majukumu ya Shule.
4.1.2 SIFA ZA MWOMBAJI
Kuajiriwa mwenye cheti cha Mtihani wa Taifa wa Kidato cha nne ambaye amefaulu masomo mawili au zaidi yanayofundishwa shuleni na kufaulu mafunzo ya Stashahada ya Ualimu ya miaka mitatu (3) kutoka Vyuo vya Ualimu vinavyotambulka na Serikali.
4.1.3 NGAZI YA MSHAHARA
Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali TGTS- C.
5. MWALIMU DARAJA LA III B – ELIMU YA AWALI NAFASI 15 (Mtwara 5, Singida 2,Mwanza 3, Arusha 2 na Dodoma 3)
5.1 MAJUKUMU YA KAZI
i. Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa;
ii. Kutengeneza na Kufaraghua zana za kufundishia na kujifunzia;
iii. Kufundisha, kufanya Tathimini na kutunza kumbukumbu za Maendeleo ya
Wanafunzi;
iv. Kusimamia na kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi Shuleni na Darasani;
v. Kusimamia malezi ya wanafunzi Kiakili, Kimwili, Kiroho na kutoa ushauri nasaha na unasihi;
vi. Kutoa ushauri wa kitaalamu na kitaaluma kuhusu maendeleo ya Elimu;
vii. Kusimamia na utunzaji wa vifaa na mali za shule; na
viii. Kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wa Shule kulingana na majukumu ya Shule.
5.1.1 SIFA ZA MWOMBAJI
Kuajiriwa mwenye cheti cha Mtihani wa Taifa wa Kidato cha nne ambaye amefaulu masomo mawili au zaidi yanayofundishwa shuleni na kufaulu mafunzo ya Stashahada ya Ualimu wa Elimu ya Awali ya miaka mitatu (3) kutoka Vyuo vya Ualimu vinavyotambulika na Serikali.Zaidi bofya hapa》》》
No comments