Rais Samia Suluhu Hassan awasili Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea kwa ajili ya Ziara Rasmi ya Kikazi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Mtawala wa Mji
wa Serikali wa Sejong, Mhe. Kim Hyung- ryeol mara baada
ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Jeshi wa Seoul,
Jamhuri ya Korea kwa ajili ya Ziara Rasmi ya Kikazi tarehe
31 Mei, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye
mazungumzo na Mtawala wa Mji wa Serikali wa Sejong,
Mhe. Kim Hyung- ryeol mara baada ya kuwasili katika
uwanja wa Ndege wa Jeshi wa Seoul, Jamhuri ya Korea kwa
ajili ya Ziara Rasmi ya Kikazi tarehe 31 Mei, 2024. Jiji hilo la
Sejong ni Makao Makuu Mapya ya Korea Kusini na Jiji hilo
lina mahusiano na Jiji la Dodoma ambalo ni Makao Makuu
ya Serikali.

No comments