Breaking News

NAIBU WAZIRI DANIEL SILLO APOKELEWA MAKAO MAKUU YA WIZARA JIJINI DODOMA

 

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Daniel Sillo akisalimiana na mtumishi wa wizara hiyo,Ezekiel Nyange wakati akiwasili leo Makao Makuu ya wizara,Mtumba jijini Dodoma baada ya kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Samia Suluhu Hassan kuhudumu katika wizara hiyo.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi





No comments