TMDA YATOA ELIMU YA MATUMIZI SAHIHI YA DAWA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI KINONDONI
Baadhi ya picha kutoka Manispaa ya Kinondoni wakati Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) ikiwa kwenye utaratibu wake wa kutoa elimu kwa umma juu ya matumizi sahihi ya dawa na vifaa tiba, madhara yanayoweza kutokea na namna ya kutoa taarifa juu ya madhara hayo.
from MALUNDE 1 BLOG https://ift.tt/X5Oj8W6
No comments